Jelurida Afrika Yakamilisha Mfulizo Wa Vikao Vya Blockchain Nchini Ghana

Siku ya Jumamosi, tarehe 2 mwezi wa nne, kampuni ya JELURIDA AFRIKA ukimaliza rasmi mfululizo wa vikao vyake Ghana. Mapema mwezi uliopita kampuni hii ilizindua mfululizo wa VIKAO ambao ulihusu uelewa wa Blockchain hii ikiwa Ni katika maandalizi ya Europe-Africa Blockchain Developer Call (E-ABDC).

Katika mfululizo wa vikao uliopita ambao uliitwa Blockchain katika teknolojia ya fedha,Namna teknolojia ya fedha inavyoweza kusaidia masuala ya fedha. Mkutano huu ulihusisha wageni rasm wawili, Roselyne Wanjiru ambaye Ni mkurugenzi wa kukua na matumizi ya pesabase na Foster Awintiti Akugri ambaye Ni muanzilishi na raisi wa Hacklab foundation. Wakati wa kikao muanzilishi wa Hacklab,Awintiti Akugri alitoa ridala kuhusu ongezeko la kasi la matumizi ya sarafu za Block chain na uendelevu wa teknolojia hii. Akugri alielezea kwa kina umuhimu wa wawekezaji kuangalia kwa ukaribu juu ya ufanisi wa miradi ambayo wanawekeza. Kwa maoni yake hii ndio namna Pelee itakayowezesha mtu kufanikiwa katika kupata fedha za wawekezaji wa Sasa na wajao.

Roselyne Wanjiru pia alitoa maelezo kuhusu pesabase, alitumia njia sawa na maelezo ya Akugri kwa kuwaonya waudhuriaji juu ya umakini wa kuchagua fedha za mtandaoni katika masuala ya uwekezaji. Wanjiru alisisitiza umuhimu wa kuangalia alama hatarishi nne ambazo zinajumuisha: Kuhakikishiwa rejesho la siku au rejesho lisilo halisi, kampuni zisizokuwa na vibali vilivyothibitishwa kutoka mamlaka husika, tamaa, na kulazimishwa katika kuwekeza. Kulingana na maelezo ya Roselyne, alama hizi ndizo alama kuu kwamba huo uwekezaji au ( fedha za mtandao) Ni wizi/uongo.

Ili kupata mazungumzo haya yaliyorekodiwa bonyeza hapa.

Kufuatia mafanikio ya kuanzisha mfululizo wa vikao vyake kampuni hii ya JELURIDA ya kuendelea kuandaa mafunzo kazi ambayo yataambatana na washiriki kupewa vyeti. Kwa maelezo zaidi juu ya mafunzo kazi yajayo au kushirikiana nasi na nafasi za kudhamini tafadhali Tuma barua pepe kwa info@jelafrica.com.

Decentralize Newsletter

From Crypto and Blockchain to AI, Fintech and Web 3.0 delivered twice in a week (Mondays and Fridays)

Thank you for signing up for Decentralize Brief newsletter.

Decentralize Newsletter

From Crypto and Blockchain to AI, Fintech and Web 3.0 delivered twice in a week (Mondays and Fridays)

Thank you for signing up for Decentralize Brief newsletter.

Decentralize Newsletter

From Crypto and Blockchain to AI, Fintech and Web 3.0 delivered twice in a week (Mondays and Fridays)

Thank you for signing up for Decentralize Brief newsletter.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.